πŒπ€ππˆπ†πŽ π˜π€ 𝐂𝐇𝐄𝐋𝐒𝐄𝐀 π˜π€π„ππƒπ„π‹π„π€. 𝐍𝐈 𝐏𝐔𝐇!.. 𝐏𝐔𝐇!.. π–π€πŠπˆππ„ππƒπ€ π–π€ππ€ππˆπ†π–π€, π–π€π’πˆππŽππ„ππƒπ€ π–π€ππ€ππˆπ†π–π€. πƒπ€πŠπˆπŠπ€ 𝐍𝐈 πŸ—πŸŽ 𝐙𝐀 πŒπ€π”πŒπˆπ•π”.

Share this story

Kufikia sasa timu ya chelsea imepokea mapigo mengi zaidi kwa ligi kuu kushinda michezo waliyo shinda.

Wameweza kupoteza michezo 3 ikifuatana kufikia sasa.

❌ 1-0 dhidi ya Wolves

❌ 2-0 dhidi Real Madrid

❌2-1 dhidi Brighton

Ibainike ya kwamba mapigo hayo hajafikia kikomo kwakua wanaenda kupatana na timu ya Real madrid katika awamu ya pili ya robo fainali ya kombe la ligi ya mabingwa baada ya kucharazwa awamu ya kwanza.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Hakuna Wimbo Umeniingizia Hela Nyingi Kushinda Wimbo Wa “Nakupenda” Jay Melody
Next post 10 mourners killed after bus crash at Josa, Mwatate road