Bill Gates Aonya AI Inaweza Kusababisha Vifo vya Bilioni Moja, Aitaka Serikali Kuweka Udhibiti
Mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, ametoa wito kwa serikali ya Marekani kuweka kanuni na mifumo madhubuti ya uangalizi wa teknolojia ya akili mnemba (AI),...
Kenya Yapewa Leseni ya Kutengeneza Dawa Mpya ya Kuzuia VVU
Kenya imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa ajili ya soko la Afrika, hatua inayoiweka nchini humo...
Tigst Assefa Kufanyiwa Upasuaji wa Dharura Baada ya Kuumia Berlin Marathon
Nyota wa mbio za marathon kutoka Ethiopia, Tigst Assefa, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura mjini Munich, Ujerumani, baada ya kupata jeraha la kano katika mguu...
Kalonzo to Skip Raila Memorial in Bondo, Accuses Rivals of Exploiting His Legacy
Wiper Patriotic Front leader Kalonzo Musyoka has announced that he will not attend the official memorial service for the late former Prime Minister Raila Odinga,...