Mashabiki Zaidi ya Milioni 30 Wataka Mbappé Aondoke Real Madrid
Nyota wa soka duniani, Kylian Mbappé, amejikuta kwenye presha kubwa kutoka kwa mashabiki wa Real Madrid baada ya zaidi ya mashabiki milioni 30 kusaini ombi...
Kenya Airways Yamkaribisha Shujaa Sabastian Sawe kwa Heshima Kubwa Baada ya Kuvunja Rekodi ya Dunia
Shirika la ndege la Kenya Airways limeandaa mapokezi ya kipekee kwa mwanariadha nyota wa Kenya, Sabastian Sawe, aliyeweka historia kwa kuwa mtu wa kwanza kukimbia...
KUHAMISHWA AFCON 2027 HAIKUWA MJADALA.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, suala la kuhamishwa kwa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika...
Pigo kwa Arsenal: Aston Villa Yaweka Kipaumbele Europa League, Huenda Ikatoa Nafasi kwa Man City
Habari mbaya zinaweza kuwa zinawaandama mashabiki wa Arsenal F.C. kufuatia hali ya sasa ya ushindani wa ubingwa katika Premier League. Hii ni baada ya kuibuka...
Lookman na Sørloth Kukosa Mechi Mbili, Mashaka Yaibuka Kwa Mchezo Dhidi ya Arsenal
Ademola Lookman na Alexander Sørloth wanatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa angalau wiki moja, hali itakayowafanya kukosa michezo miwili ijayo ya timu yao. Lengo la...
Kenya inatimiza wajibu wa CAF kuwa mwenyeji mwandalizi wa AFCON
Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Masuala ya Vijana, Uchumi Ubunifu na Michezo Salim Mvurya ametangaza kuwa serikali imetimiza kikamilifu majukumu yake ya kifedha kwa...