Messi Azungumzia Picha Maarufu na Lamine Yamal, Amsifu Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia
Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, amefunguka kuhusu picha maarufu iliyopigwa mwaka 2007 akiwa amembeba na kumuosha Lamine Yamal alipokuwa mtoto mchanga, akisema ni moja ya...
Tuchel: Hakuna Anayetaka Kucheza Mechi ya Nafasi ya Tatu
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, amesema wachezaji wake walitamani kufuzu hadi fainali ya Kombe la Dunia badala ya kucheza mechi...
Rodri Aendelea Kuzivutia Klabu Kubwa, Real Madrid Yatajwa Kufuatilia Hali Yake
Soko la usajili linaendelea kushika kasi huku kiungo nyota wa Manchester City, Rodri, akihusishwa na uwezekano wa kujiunga na Real Madrid. Kwa mujibu wa taarifa...
Infantino Afungua Mlango wa Kombe la Dunia la Timu 64 Mwaka 2030
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amesema pendekezo la kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka 48...
Junior Starlets Watinga Kombe la Dunia Baada ya Kuifunga Afrika Kusini kwa Kishindo
Timu ya taifa ya wanawake ya Kenya chini ya umri wa miaka 17, Junior Starlets, imefuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA U-17, baada ya...
Arsenal Yaongeza Kasi Kumnasa Julián Álvarez Kabla ya Pre-Season
Arsenal imeongeza juhudi za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julián Álvarez, kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya, huku kocha Mikel...