ARGENTINA YATANGAZA JULAI 15 KUWA “SIKU YA TIMU YA TAIFA”
Shirikisho la Soka la Argentina limetangaza Julai 15 kuwa “Siku ya Timu za Taifa”, kwa heshima ya ushindi wao wa kihistoria dhidi ya England katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026. 🏆
Argentina ilionekana kuelekea kuaga mashindano baada ya England kuongoza 1-0 hadi dakika ya 84, kabla ya Enzo Fernández kufunga bao la kusawazisha na kuwarudisha Waargentina kwenye mchezo.
Dakika za mwisho, Lautaro Martínez alifunga bao la ushindi kwa kichwa na kuikamilisha moja ya comeback kubwa zaidi katika historia ya soka la Argentina. 🤯🔥
Ushindi huo ulikuwa na maana kubwa kwa Waargentina kiasi kwamba Ángel Di María aliwahi kusema kuwa Argentina ilikuwa tayari “imeshinda” Kombe la Dunia mara tu ilipoiondoa England.
Sasa, usiku huo wa kihistoria umepewa heshima ya kudumu kwa kutangazwa kuwa na siku rasmi ya kitaifa ya kusherehekea timu ya taifa. 🇦🇷🏆