Cristiano Ronaldo Ajiunga Tena na Al Nassr Akilenga Kufikisha Magoli 1,000
Cristiano Ronaldo amerejea katika klabu yake ya Al Nassr nchini Saudi Arabia, akiwa amebakisha magoli 21 pekee kufikisha mabao 1,000 katika soka la ushindani. Ronaldo...
Rick Ross Akamatwa Miami Kwa Mashtaka ya Kumshambulia Mwanamke
Msanii maarufu wa muziki wa Marekani, Rick Ross, amekamatwa katika jiji la Miami Beach, Florida, akikabiliwa na mashtaka mawili yanayohusiana na tukio linalodaiwa kuwa la...
BASATA Yamtoza Dudu Baya Faini ya Sh3 Milioni
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka msanii Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudu Baya, kulipa faini ya shilingi milioni tatu ndani ya siku 14 kufuatia...
BASATA YAMTOZA HARMONIZE FAINI YA SH5 MILIONI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtoza msanii Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ faini ya Sh5 milioni kwa tuhuma za kusambaza video ya wimbo wake “Kudos”,...
“See you at the altar, my love.” – Isaya Yunge
Mfanyabiashara wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amezua gumzo miongoni mwa mashabiki baada ya kushiriki ujumbe wa kimapenzi kwa Charlene Ruto, akidokeza kuhusu hatua inayofuata...
Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez Sasa ni Mume na Mke
Nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Rodríguez, katika sherehe ya kiraia iliyofanyika Cascais, Portugal, tarehe...