Niffer amehamasisha Vurugu na kuharibu miundombinu- Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumkamata na linamhoji Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer leo tarehe Oktoba 27, 2025 majira ya...
Alikiba anawataka walio na umri wa zaidi ya miaka 80 kujifunza kutokana na kifo cha Raila na kufurahia maisha
Msanii wa muziki nchini Tanzania Ali Saleh Kiba, almaarufu Alikiba, amewataka wazee hasa walio na umri wa zaidi ya miaka 80 kukumbatia maisha na kupata...
Za Diddy Zafika, Miezi 50 Jela kwa kosa la ukahaba
Mwanamuziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela (takribani miaka 4) pamoja na faini ya Dola 500,000 kwa kosa la usafirishaji...
Mbosso amuhenzi mwalimu wa shule ya msingi aliyeubadilisha wimbo wake wa ‘Pawa’
MSANII Mbwana Yusuf Kilungi, maarufu Mbosso, amemshangaza mwalimu wa shule ya msingi baada ya kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 388 hadi Tanga Hills, ambako...
DOGO JANJA ATUHUMIWA KUMPIGA MWANAFUNZI RISASI .
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema linafanya uchunguzi wa tukio la Bakari Halifa Daud (18), mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa risasi mguuni na...