Chadema yatangaza siku saba za maombolezo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kutokana na matukio ya kusikitisha yaliyosababisha vifo, majeruhi na kupotea kwa baadhi ya Wananchi siku ya October 29,...
Suluhu ndiye suluhu ya Tanzania
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshinda muhula wa kwanza kamili kwa asilimia 97.66% ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wenye utata uliogubikwa na maandamano yenye...
Dkt.Hussein Ali Mwinyi ashinda tena Urais Zanzibar kwa asimilia 74.8 ya kura zote halali
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29...
Paul Biya ashinda urais Tena akiwa na umri wa miaka 92
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92 ameshinda kura ya uraisi kwa muhula wa nane uliokumbwa na utata.i.Paul Biya, ambaye ni mkuu wa nchi...
Niffer amehamasisha Vurugu na kuharibu miundombinu- Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumkamata na linamhoji Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer leo tarehe Oktoba 27, 2025 majira ya...
Kenya Police FC wameripoti Al Hilal SC kwa CAF
Kenya Police FC wameripoti Al Hilal SC kwa CAF, wakidai miamba hao wa Sudan waliwatumia wachezaji watatu wasiostahili wakati wa mchuano wao wa awali! Upande...