JAYDEE AKATAA KUCHAPA!
Mwanamuziki Lady Jaydee ametaja mambo mawili yanayomfanya aendelee kuonekana binti licha ya kufikisha umri wa miaka 45.
Lady Jaydee amesema kwanza yeye huwa halii kabisa nyama nyekundu, pili anakunywa wine (mvinyo) mara kwa mara.
Lady Jaydee