Kizza Besigye Azimia Mahakamani, Akimbizwa ICU Wakati wa Kusikilizwa kwa Kesi Yake
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye, ameanguka na kupoteza fahamu akiwa mahakamani wakati wa kusikilizwa kwa kesi inayomkabili, hali iliyosababisha akimbizwe haraka katika...