Trump Azindua Kiwanja Kipya cha Helikopta White House
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi kiwanja kipya cha helikopta katika South Lawn ya White House, Washington, D.C., baada ya kukata utepe katika hafla...
Bunge la Kaunti ya Taita Taveta Laidhinisha Uteuzi wa Vumi Ngaleri Ringo
Bunge la Kaunti ya Taita Taveta limeidhinisha mchakato wa uteuzi wa Vumi Ngaleri Ringo kuwa mjumbe wa County Public Service Board (CPSB). Uteuzi huo uliwasilishwa...
BASATA YAMTOZA HARMONIZE FAINI YA SH5 MILIONI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtoza msanii Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ faini ya Sh5 milioni kwa tuhuma za kusambaza video ya wimbo wake “Kudos”,...