Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...
Huduma Day : Wajumbe Wa Serikali Wafanya Kongamano La Vijana TaitaTaveta
Naibu Waziri Shadrack Mwadime na wajumbe kutoka Serikali za Kitaifa na Kaunti walifanya Kongamano la Vijana la Taita Taveta 2024 katika Kaunti Ndogo ya Taveta.Mkutano...
HANA MWANGA TENA! MWANGAZA WA GAVANA MWANGAZA WAZIMIA
Hatimaye kitumbua cha gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza kimeingia mchanga baada ya bunge la seneta kuhidhinisha madai ya kaunti ya kumtimua ofisini. Haya...
Kilifi : Bibilia ya Lugha ya Chonyi yazinduliwa
Shirika la Kutafsiri Biblia na Kusoma na Kuandika (BTL) limezindua Biblia ya Agano Jipya ya lugha ya Chonyi katika Eneo Bunge la Kilifi Kusini, na...
Jopokazi Lapendekeza Mabadiliko Kwa Taasisi Za Kidini Za Kenya
Serikali imedhamiria kutekeleza kanuni mpya kali kwa taasisi za kidini kufuatia mapendekezo ya jopokazi liloundwa baada ya mkasa wa Shakahola mwaka jana.Jopokazi hilo, likiongozwa na...
Raila ataka marekebisho ya katiba ili kushughulikia mzozo wa kitaifa uliopo
Kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ametaka katiba ipitiwe upya ili kukuza nchi inayoendelea baada ya mwezi mmoja wa maandamano mabaya yaliyoongozwa...