Msanii wa Muziki Tanzania Spack Afariki Dunia
Tasnia ya muziki nchini Tanzania imekumbwa na msiba kufuatia kifo cha msanii anayefahamika kwa jina la Spack. Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizothibitishwa na...
Mwigizaji Mkongwe Hashim Kambi Afariki Dunia
Tasnia ya filamu nchini Tanzania imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha mwigizaji mkongwe Hashim Kambi, aliyefariki dunia hapo jana, Aprili 27, 2026, jijini Dar es...
Hakuna cha Vikapu ni Mziki na Harusi! B Classic 006 na Cate Mpaka Mwisho
Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki, B Classic 006, rasmi ameaga maisha ya ubachela baada ya kufunga ndoa leo tarehe 23 Aprili 2026...
Anerlisa Muigai Arejea Mitandaoni Baada ya Mda Mrefu
Mfanyabiashara wa Kenya, Anerlisa Muigai, amerejea rasmi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kipindi kirefu cha ukimya, akichagua tukio maalum kuashiria kurejea kwake. Anerlisa alionekana...
Mandonga vs Majembe: War of Words Sets Stage for Explosive Boxing Showdown
A fiery exchange has erupted between Tanzanian boxer Karim Mandonga, popularly known as Mtu Kazi, and Kenyan fighter Portifas Odipo, alias Majembe, as anticipation builds...
Mimi Mars Afunguka Sababu za Kuachana na Uigizaji na Kujikita Kwenye Muziki
Msanii wa burudani nchini Tanzania, Marianne Mdee maarufu kama Mimi Mars, hatimaye amevunja ukimya kuhusu sababu zilizomfanya apotee kwenye tasnia ya uigizaji licha ya mafanikio...