Matonya aachiliwa jela kwa dhamana
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Matonya ametoka jela kwa dhamana alipokuwa akishikiliwa kutokana na na kesi ya ubakaji inayomkabili, Simulizi na Sauti tulifanya mahojiano siku ya jana na Msanii D Rush ambae alizungumzia kuhusu kutoka kwa matonya aliyetoka jela siku ya jana.
Hivyo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kuwa yupo nje kwa dhamana na kushukuru wote mlio pamojannae