Papa Leo XIV Agundulika Kuwa na Saratani ya Mapafu
Papa Leo XIV ameripotiwa kugundulika kuwa na saratani ya mapafu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe katika eneo la mapafu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, uchunguzi wa uvimbe mdogo ulioondolewa wakati wa upasuaji ulithibitisha kuwa ulikuwa na adenokarsinoma, aina ya saratani inayoweza kuathiri mapafu.
Vatican imeongeza kuwa vipimo vilivyofanyika kabla ya upasuaji vilikuwa tayari vimeashiria uwezekano wa kuwepo kwa saratani hiyo.