MENA: UKIKOSA PESA HUWEZI KUWA NA MIMI

Share this story

Baby mama wa mchekeshaji/mchungaji mahili hapa nchini Mc Pilipili ameonyesha kukasilishwa vilivyo na wanaume wasiokuwa na pesa na kudai endapo mwanaume akafilisika mikononi mwake hawezi kabisi kumvumilia.

”sipendi kabisa umaskini, Ukitaka nidumu kwako ni lazima uhakikishe upungukiwi pesa”- Phelomena Thadey “Mena Quite.

Kubwa zaidi Mc Pilipili ni mchungaji na anamiliki kabisa uchwara, Ila jambo la kushangaza ni kwamba mwandada huyo hashiriki kabisa ibada kwenye kanisa la mumewe kutwa yupo kwa Pastor Tonny kapola


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Tanzania Morocco imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi
Next post Gachagua: I’ll tell Kenyans way forward in January