“Finale Yavunja Rekodi: Bien Aelezea Mafanikio Makubwa Zaidi”
Bien amefunguka na kueleza kuwa wimbo wake wa “Finale”, aliomshirikisha Alikiba, umeweka rekodi mpya katika safari yake ya muziki tangu aanze kujitegemea kama msanii. Kwa...
Matonya kizimbani kwa madai ya unyanyasaji wa kingono
Msanii wa Tanzania, Sefu Shabani 43, anayejulikana zaidi kama Matonya amekamatwa na kushtakiwa nchini Kenya kwa madai ya unyanyasaji wa kingono Matonya, ambaye amewahi kutamba...
Joshua Baraka Ampita Diamond kwenye Spotify
Mwimbaji wa Uganda Joshua Baraka amempiku Diamond Platnumz wa Tanzania katika wasikilizaji wa kila mwezi kwenye huduma ya utiririshaji, Spotify. Kufikia Machi 2026, Baraka ana...
Jalang’o reminds Bahati of his gospel vow amid song backlash
Lang’ata Member of Parliament (MP) Phelix Odiwuor, popularly known as Jalang’o, has weighed in on Bahati’s, latest controversial song. The song, whose explicit video and bold...
Za Diddy Zafika, Miezi 50 Jela kwa kosa la ukahaba
Mwanamuziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela (takribani miaka 4) pamoja na faini ya Dola 500,000 kwa kosa la usafirishaji...
Mbosso amuhenzi mwalimu wa shule ya msingi aliyeubadilisha wimbo wake wa ‘Pawa’
MSANII Mbwana Yusuf Kilungi, maarufu Mbosso, amemshangaza mwalimu wa shule ya msingi baada ya kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 388 hadi Tanga Hills, ambako...