“Rayvanny Hatoweza Kumpata Mwanamke Bora Kama Mimi” ~Fayhma.
Mrembo Fayhma ameshindwa kujizuia kutoa ya moyoni baada ya kubwagana na mpenzi wake na baba mtoto wake ambaye ni msanii Rayvanny. Fayhma ameandika ujumbe unaosomeka...
Ugomvi wa Diamond Platnumz na Mbosso Wazidi Kuongezeka Mitandaoni
Diamond Platnumz aliweka hadharani kwenye Instagram Stories, akisema hajawahi kutaka suala hilo na Mbosso kucheza mtandaoni. Alidai kuwa alimpigia simu na kumtumia ujumbe Mbosso faraghani,...
Mwana FA na AY washinda rufaa fidia dhidi ya Tigo
Mahakama ya Rufaa Tanzania imewapa ushindi wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) na Ambwene Yesaya (AY), katika rufaa ya muda mrefu...
RASMI IBRAAH AMEMALIZANA NA KONDEGANG
Rasmi sasa Chinga @ibraah_tz amemalizana na lebo aliyokuwa akifanya nayo kazi Konde Music Worldwide baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati yake,lebo hiyo na Baraza la Sanaa...
B Classic Arejea Na Melody Ya Tipsy – “I Like It”
Msanii B Classic amerudi tena na ngoma mpya ya "I Like It" wakati huu akiwa tipsy na melody za mapenzi. Hii ni baada ya kupotea...
NGOMA YA “GOD DESIGN” YA JUX YATIKISA TRENDING NO: 1 NIGERIA
Siku tano tu tangu atoe wimbo wake mpya God Design akiwa amemshirikisha rapa kutoka Nigeria, Phyno, msanii wa Tanzania Jux ameandika historia mpya katika muziki...