MENA: UKIKOSA PESA HUWEZI KUWA NA MIMI
Baby mama wa mchekeshaji/mchungaji mahili hapa nchini Mc Pilipili ameonyesha kukasilishwa vilivyo na wanaume wasiokuwa na pesa na kudai endapo mwanaume akafilisika mikononi mwake hawezi...
Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Bongo movies imepoteza moja ya waigizaji wa mfano aliyekuwa kioo cha jamii kimaadili kwa vitendo kuanzia uvaaji, mahusiano na watu. Grace Mapunda hakuwa mtu wa...
Mrembo Vera Sidika Aonesha Sura yake Mpya Baada ya Sajari
Mrimbwende maarufu katika masuala ya urembo nchini Kenya, Vera Sidika ameonyesha sura yake mpya baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali...
Idris Elba Afunguka Tena Nia Yake ya Kuja Kuishi Afrika
Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha Miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika maeneo ya Zanzibar, Accra nchini...
MZEE PEMBE AFARIKI DUNIA
Mchekeshaji mkongwe Tanzania Mzee Yusuph Kaimu maarufu kwa jina la "Mzee Pembe" amefariki dunia muda wa alasiri ya leo Oktoba 20, 2024. Taarifa ya kifo...
Tyrese Gibson kufungwa baada kushindwa kulipa malipo ya mtoto.
Muigizaji na mwimbaji Tyrese Gibson aliagizwa kufungwa baada kushindwa kwake kulipa malipo ya mtoto. Agizo la mahakama lililotolewa Jumatatu linaonyesha jaji wa Kaunti ya Fulton...