MZIZE ANUKIA ESPERANCE

Share this story

Mzize anaweza kuelekea Tunisia karibuni, hii ni baada ya Esperance de Tunis kutuma ofa mpya ya Tsh 2.4B ($1M) baada ya pendekezo la awali kukataliwa. Kiasi hicho kinatajwa kuwa thamani halisi wanayoihitaji Yanga SC.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Msanii wa muziki wa rap, Taymor Travon McIntyre ahukumiwa miaka 80 gerezani
Next post CHAN2024 HARAMBEE STARS WAKIWA PUNGUFU UWANJANI WAILAZA MOROCCO.