MZIZE ANUKIA ESPERANCE
Mzize anaweza kuelekea Tunisia karibuni, hii ni baada ya Esperance de Tunis kutuma ofa mpya ya Tsh 2.4B ($1M) baada ya pendekezo la awali kukataliwa. Kiasi hicho kinatajwa kuwa thamani halisi wanayoihitaji Yanga SC.