LINDA Party Yaenda Mahakamani Kupinga Matumizi ya Jina “Linda Mwananchi”
Wamiliki wa LINDA Party wamewasilisha kesi mahakamani kupinga matumizi ya jina “Linda Mwananchi”, wakidai kuwa walianza mchakato wa kusajili jina hilo tangu mwaka 2024. Wamesema...