Mwigizaji Mkongwe Hashim Kambi Afariki Dunia
Tasnia ya filamu nchini Tanzania imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha mwigizaji mkongwe Hashim Kambi, aliyefariki dunia hapo jana, Aprili 27, 2026, jijini Dar es...
Malema Ahukumiwa Jela Miaka Mitano
Mwanasiasa wa upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumiliki bunduki kinyume cha sheria na kufyatua risasi...
Matonya kizimbani kwa madai ya unyanyasaji wa kingono
Msanii wa Tanzania, Sefu Shabani 43, anayejulikana zaidi kama Matonya amekamatwa na kushtakiwa nchini Kenya kwa madai ya unyanyasaji wa kingono Matonya, ambaye amewahi kutamba...
Hofu Kivuko Cha Likoni Baada Ya Mwanaume Mmoja Kukamatwa Akiwa Na Kitu Kilichoonekana Kama Bunduki
Hofu iliongezeka katika Kivuko cha Likoni, Mombasa, baada ya mwanamume mmojai kukamatwa akiwa amebeba kitu kilichoonekana kama bunduki, hali iliyowafanya maafisa wa usalama kuchukua hatua...
Serikali yapiga hatua kuhalalisha mnazi, kuwapa afueni wakulima wa minazi wa Pwani
Wakulima wa minazi katika eneo la Pwani huenda wakaruhusiwa hivi karibuni kufanya biashara ya mnazi kufuatia mipango mipya ya serikali ya kutambua kisheria pombe hiyo...
Israel yatangaza kumuuwa waziri wa Ulinzi wa Iran
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz ameiambia dunia kwamba afisa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na...