Israel Yazidisha Mashambulia Ya Anga Iran!
Israel imeanzisha mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Iran usiku wa kuamkia leo. Vituo vilivyolengwa ni vya kiwango cha juu, vikiwemo:Kambi ya kijeshi ya BasijMakao...
Samboja Ateuliwa Mwenyekiti Wa Pareto
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Kuchakata Pareto nchini Kenya. Uteuzi...
Fukwe Zote za Umma Mombasa Zimefungwa
Fuo zote za umma jijini Mombasa zitafungwa kufuatia agizo la Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sherrif Nassir.Kupitia taarifa iliyotolewa Ijumaa, Mei 23, Nassir aliamuru kufungwa kwa...
BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA
Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa. Gari hilo la...
Sudan Yavunja Uhusiano Na UAE
Sudan imetangaza kuwa itavunja uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya jeshi kuituhumu UAE kuunga mkono kikosi pinzani cha Rapid Support Forces...
RAISI RUTO ARUSHIWA KIATU AKIWA ZIARA YA KAZI.
Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili. Video...