KITENGE ARUDI WASAFI AKIWA NA GERALD HANDO.
Diamond hataki mchezo kwani kapambana kuhakikisha Mtangazaji nguli wa vipindi vya michezo Tanzania Maulid Kitenge anarejea Wasafi Media akitokea EFM ambapo safari hii amerejea akiwa na Mtangazaji Gerald Hando aliyekuwa kipindi cha Asubuhi Joto la Asubuhi EFM
Mtangazaji Gerald Hando Aliyekuwa Akitangaza kipindi cha Joto la Asubuhi Nae Amehamia Wasafifm Akitokea EFM, kama Unakumbuka Hando alisimamishwa na Majizo Kutokana na Kutoa Kauli ya Kutopendezwa na Jinsi Nchi Inavyoendeleza Mikopo, Akishauri Serikali Iache Kukopa Na Kuongeza Deni la Serikali