PICHA : Gavana Nassir, Pamoja na Gavana Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, Pamoja na Gavana wa Taita Taveta, H. E Andrew Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Jamii ya Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa










