PICHA : Diamond Platnumz Asherekea Siku ya Kuzaliwa Na Mtoto Wake Naseeb
Diamond Platnumz ameachia picha mpya akiwa na mtoto wake wa mwisho, Naseeb Jr ambaye wamezaliwa siku moja.
Utakumbuka Diamond amejaliwa mtoto huyo na Mwanamitindo na Mwanamuziki wa Kenya, Tanasha Donna. Picha zaidi kwenye comments.







