Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung'aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.
Imam Khamenei alimtunuku “Nishani ya Fath” Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Leo kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khemenei amemvisha nishani ya heshima kamanda mkuu wa jeshi la anga la nchi hiyo Brigedia Jenerali Amir Ali...
B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...
Kamanda mkuu wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel huko Beirut
BEIRUT: KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa wanachama wake 16 wakiwemo kiongozi mwandamzi Ibrahim Aqil na kamanda mwingine Ahmed Wahbi katika shambulio la...
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...
Urusi : Rais Wa Urusi, Vladimir Putin Amuunga Mkono Kamala Harris’
Urusi inamuunga mkono Kamala Harris': Historia ya Putin ya 'maidhinisho ya uchaguzi wa Marekani Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema baada ya Rais wa sasa...