Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta
M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta.
Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo kuwa namba 15 nchini nzima kati ya MCA wachapa kazi kulingana na utafiti

