Reiss Nelson Ataka Uhamisho Msimu Wa Joto Kutoka Arsenal
Reiss Nelson ameifahamisha Arsenal kwamba anataka kutathmini chaguzi zinazowezekana za uhamisho msimu huu wa joto. Arsenal ilikataa mbinu za Januari na wangetafuta karibu pauni milioni...
Chelsea wamefungua mazungumzo RASMI juu ya kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace Michael Olise
Michael Olise Ni miongoni mwa walengwa wakuu wa Chelsea na kulingana na ripoti ya David Orstein leo mchana Chelsea iliomba ruhusa ya kuzungumza na wawakilishi...
Kylian Mbappe Kuvaa Jezi Namba 9 Huko Madrid
Kylian Mbappe amekamilisha uhamisho wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kutoka Paris Saint-Germain kwenda Real Madrid na kusaini mkataba wa miaka mitano na Los Blancos. Kylian...
ANASTAAFU AKIWA BINGWA WA UCL
Toni Kroos ametimiza assist 100 kwenye career yake ya soka. Leo ndio Mchezo wake wa mwisho kucheza ngazi za vilabu, hatacheza mchezo wowote Tena kwa...
Washindi wa tuzo za Manchester United msimu wa 2023/24
Washindi wa tuzo za Manchester United msimu wa 2023/24 Mchezaji Bora wa Mwaka - Bruno Fernandes Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wachezaji - Diogo Dalot...
Haland ajishindia Viatu vya dhahabu kwa Misimu miwili.
Erling Haland akiwa na miaka 23 pekee Anakuwa mchezaji Wa kwanza wa Manchester City kuwa na Magoli mengi katika historia. Ni msimu wake wa pili...