IVAN JURIC KURITHI MIKOBA YA DE ROSSI AS ROMA

Share this story

Kocha wa zamani wa klabu ya Torino Ivan Jurić yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa klabu ya AS Roma juu ya kurithi mikoba ya mkongwe De Rossi ambaye ametupiwa virago baada ya kutokua na mwenendo mzuri wa kupata matokeo ndani ya klabu hiyo.

Ivan Jurić  anatarajiwa kusaini kandarasi itakayomfanya adumu katika klabu ya AS Roma mpaka mwezi June 2025 na kwenye kandarasi yake kukiwa na kipengele cha kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kama ataisaidia timu hiyo kufuzu kwenye mashindano ya Uefa Champions League 


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post David Raya Double Save is INCREDIBLE, Denies Atalanta A Win
Next post Three Bench Judge Declares NG-CDF Unconstitutional