Kylian Mbappe Kuvaa Jezi Namba 9 Huko Madrid
Kylian Mbappe amekamilisha uhamisho wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kutoka Paris Saint-Germain kwenda Real Madrid na kusaini mkataba wa miaka mitano na Los Blancos. Kylian...
ANASTAAFU AKIWA BINGWA WA UCL
Toni Kroos ametimiza assist 100 kwenye career yake ya soka. Leo ndio Mchezo wake wa mwisho kucheza ngazi za vilabu, hatacheza mchezo wowote Tena kwa...
Washindi wa tuzo za Manchester United msimu wa 2023/24
Washindi wa tuzo za Manchester United msimu wa 2023/24 Mchezaji Bora wa Mwaka - Bruno Fernandes Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wachezaji - Diogo Dalot...
Haland ajishindia Viatu vya dhahabu kwa Misimu miwili.
Erling Haland akiwa na miaka 23 pekee Anakuwa mchezaji Wa kwanza wa Manchester City kuwa na Magoli mengi katika historia. Ni msimu wake wa pili...
Stefan Ortega amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi ya Ligi Kuu kati ya Tottenham dhidi ya Manchester City
Stefan Ortega amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi ya Ligi Kuu kati ya Tottenham dhidi ya Manchester City Stefan Ortega sasa ameokoa michomo 11 kati...
Man City Kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ikiwa imesalia na mchezo mmoja kuchezwa
Kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ikiwa imesalia na mchezo mmoja kuchezwa Dakika ya 86 Mchezaji wa Tottenham Hotspur Son alikosa nafasi ya Wazi ambayo...