Victor Osimhen Kujiunga Galatasaray Kwa Mkopo.
Galatasaray wamekata tiketi ya ndege kwa ajili ya Victor Osimhen ikiwa yote yataenda vizuri kulingana na mkataba.Mkataba wa mkopo umekamilika na kukubaliana na Napoli, maelezo...
Goli la Eze linawahakikishia Crystal Palance pointi ugenini dhidi ya Chelsea
Chelsea ilipoteza uongozi na kupata sare ya 1 – 1 dhidi ya Crystal Palace uwanjani Stamford Bridge Jumapili. Nicolas Jackson aliwatanguliza Chelsea dakika ya 25...
Liverpool Yaicharaza United Tatu Bila Nyumbani
Liverpool imedumisha ushindi wa mechi tatu mfululizo kwenye Ligi ya EPL baada ya kuitinga Manchester United 3 – 0 uwanjani Old Trafford Jumapili. Luis Diaz...
Real Madrid ndio mabingwa wa UEFA CUP 2024
Kylian Mbappe alifunga bao kwenye mechi yake ya kwanza kusaidia Real Madrid kushinda taji la sita la UEFA Super Cup baada ya kuchapa Atalanta 2...
Julian Alvarez ajiunga na Atletico Madrid
Mshambulizi wa Manchester City Julian Alvarez amesajiliwa na klabu ya Atletico Madrid kwa mkataba wa miaka sita kwa thamani ya pesa kiasi cha £81.5 milioni....
Aaron Wan-Bissaka ajiunga na West Ham
West Ham wamemsajili mlinzi wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka kwa kitita cha pesa £15 milioni kwa mkataba wa miaka saba. Mlinzi huyo mwenye umri wa...