Pigo kwa Man City : Rodri atakuwa nje kwa muda mrefu kutokana na jeraha baya la goti
Manchester City imepata pigo kubwa baada ya ripoti kuibuka kuhusu jeraha alilopata Rodri kwenye sare na Arsenal. Habari mbaya mno kwa bingwa mtetezi wa Premier...
David Beckham : Sababu Za Kumchagua Messi Badaya Ya Cristiano
"Ilikuwa inawezekana kumsajili Cristiano Ronaldo na kumpa nguvu kama ambayo Lionel Messi anayo huku Marekani, Lakini nilimchagua Lionel Messi kwa sababu ni moja ya wachezaji...
IVAN JURIC KURITHI MIKOBA YA DE ROSSI AS ROMA
Kocha wa zamani wa klabu ya Torino Ivan Jurić yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa klabu ya AS Roma juu ya kurithi mikoba ya mkongwe...
De Rossi apigwa kalamu na AS Roma
AS Roma imempiga kalamu kocha wao Daniele De Rossi baada ya matokeo mabaya kwa mechi nne za mwanzo wa msimu wa 2024/25 katika Ligi ya...
Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
Mbunge wa Taveta Wakili Bwire ametangaza kurejea kwa Wakili Bwire Super cup. Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook mbunge huyo ametangaza kurejea kwa mashindano hayo...
Luis Suarez Ametangaza Kustaafu kuichezea Uruguay kumbukumbu za Ghana zikizua kwa mashabiki.
Wakati wa Kombe la Dunia 2010 pale Afrika Kusini, Mechi ya robo fainali dhidi ya Ghana, Stephen Appiah wa Ghana akiwa anaelekea kuweka Historia ya...