MUONEKANO WA BINTI WA FID Q WAWASHTUA WENGI
Gumzo kubwa mitandaoni hivi sasa ni muonekano wa binti yake mpendwa, Fidela Kubanda. Picha mpya zinazosambaa zikionyesha mabadiliko ya binti huyo tangu akiwa mchanga hadi sasa, zimewaacha wengi vinywa wazi kutokana na jinsi alivyokua kwa kasi na kuwa mrembo wa kuvutia.
Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania FID Q kushoto akiwa na mtoto wake Fidela Kubanda ambaye kwasasa amekuwa kama unavyomuona Picha ya Kulia
