Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti aingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr
Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti alingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr ili asipoteze muda.
Mara nyingi wachezaji huwa na tabia ya kuchelewasha muda wanapofanyiwa mabadiliko.
Madrid walishinda mabao 2 -1 dhidi ya Barcelona leo.