RASHIDABDALLA SUPERCUP : GREEN BOYS YAFUZU KWENYE MICHUANO YA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAKAZA KWALE UNITED
Timu ya Green boys kutoka maeneo ya Mwananyamala leo alasiri imeweza kuichakaza Kwale United kutoka Kwale mjini baada ya kuitandika mabao 3 -1 bila huruma...
PICHA : MKE WA RONALDO AWATOA UDENDA VIJEBA MITANDAONI
Mke wa Ronaldo awatoa udenda mafans mtandaoni baada ya kuvaa jezi za timu ya mume wake ya Al Nassr na kupendeza kupita kiasi kutokana na...
Harambee Stars Yawika Qatar FULL TIME: Qatar 1-2 Kenya
Harambee stars iliilaza wenyeji wa Kombe la Dunia 2022 Qatar mabao 2-1 Alhamisi jioni katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa Al Janoub mjini...
YANGA SC YAFUNGIWA KUSAJILI
Klabu ya Yanga imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana raia wa Burundi. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)...