FIFA : Unaweza kufungwa jela miaka 7 iwapo utapatikana ukifanya ngono nje ya ndoa wakati wa kombe la dunia, nchini Qatar
FIFA imetoa onyo ya kuwa mbinu kali zitatumika kuzuia vitendo vya kufanya mapenzi nje ya ndoa katika mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia...
Samuel Eto’o alikataa vikali ombi la Matip la kutaka aitwe tena kwenye timu ya taifa ya Cameroon kwa Kombe la Dunia
Samuel Eto'o alikataa vikali ombi la Matip la kutaka aitwe tena kwenye timu ya taifa ya Cameroon kwa Kombe la Dunia litakalo fanyika nchini Qatar...
Timu ya Kandanda ya wanawake, Serengeti girls, yafuzu kombe la Dunia, India 2022
Timu ya wanawake ya serengeti wenye chini ya miaka 17 yafuzu kucheza kombe la dunia mwaka wa 2022 litakalo andaliwa India Kupitia ukurasa wa instagram,...
Wales Yafuzu kucheza kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuifunga Ukraine.
Team ya Wales Yafuzu kucheza kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuilaza Ukrane bao 1-0. Bao la kujifunga la...
Kylian Mbappe Ahakikishia Mashabiki Atasalia PSG.
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23...