𝐇𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐞𝐥𝐞𝐤𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐞𝐫𝐚𝐭𝐢 𝐐𝐚𝐭𝐚𝐫 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚. 𝑯𝒊𝒛𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒚𝒂 𝒕𝒂𝒃𝒊𝒂 𝒛𝒊𝒍𝒊𝒛𝒐𝒑𝒊𝒈𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒓𝒖𝒇𝒖𝒌𝒖

Unywaji wa Pombe-Pombe ni kinyume cha sheria Nchini Qatar. Inapatikana kwa watu wazima walio na umri wa zaidi ya miaka 21, wakaazi wasio wa Qatari,...