Chelsea wamefungua mazungumzo RASMI juu ya kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace Michael Olise
Michael Olise Ni miongoni mwa walengwa wakuu wa Chelsea na kulingana na ripoti ya David Orstein leo mchana Chelsea iliomba ruhusa ya kuzungumza na wawakilishi wa mchezaji.
Chelsea wanataka dili la olise likamilike haraka iwezekanavyo.