Daktari Ezekiel Mutua Ateuliwa Kama Afisa Mkuu Mtendaji Wa Chama Cha Hakimiliki Kipya Cha Muziki Kenya (MCSK)
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji wa Filamu nchini Kenya (KFCB) Daktari Ezekiel Mutua ameteuliwa kuwa mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa chama cha hakimiliki cha...
Muabori Asema Hana Beef na Msanii Yeyote Awatakia Wasanii Wenzake Kila la Heri Ya Siku ya Wapendanao.
Baada ya Muabori kuchapisha maneno tatanishi yanayo ashiria ako na bifu na msanii fulani kwenye ukurasa wake wa facebook mnamo tarehe 6 February, 2022, msanii...
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi
Alikiba aongoza kwa wasanii wanaopata pesa nyingi kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwa radio na Tv kulinganaga na Taasisi ya Haki miliki Tanzania. Taasisi hiyo...