Mahakama Kuu yaamuru serikali kumlipa aliyekuwa Mbunge Basil Criticos Ksh.30M kwa ukiukaji wa haki za kumiliki mali
Mahakama Kuu imeamuru serikali kumlipa aliyekuwa Mbunge wa Taita-Taveta Basil Criticos jumla ya Ksh.30 milioni kwa kukiuka haki yake ya kikatiba ya kumiliki mali. Katika...