BASATA Yamtoza Dudu Baya Faini ya Sh3 Milioni
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka msanii Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudu Baya, kulipa faini ya shilingi milioni tatu ndani ya siku 14 kufuatia...
BASATA YAMTOZA HARMONIZE FAINI YA SH5 MILIONI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtoza msanii Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ faini ya Sh5 milioni kwa tuhuma za kusambaza video ya wimbo wake “Kudos”,...
“See you at the altar, my love.” – Isaya Yunge
Mfanyabiashara wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amezua gumzo miongoni mwa mashabiki baada ya kushiriki ujumbe wa kimapenzi kwa Charlene Ruto, akidokeza kuhusu hatua inayofuata...
Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez Sasa ni Mume na Mke
Nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Rodríguez, katika sherehe ya kiraia iliyofanyika Cascais, Portugal, tarehe...
Bungoma Man Faints After Learning of Charlene Ruto’s Engagement
A man from Bungoma has reportedly fainted after receiving news of the engagement of President William Ruto’s daughter, Charlene Ruto, to her Tanzanian fiancé. The...
Diamond Platnumz Amuunga Mkono Zuchu Wakati wa Kujifungua Mtoto wa Kike
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameshiriki video inayomuonyesha akiwa pamoja na mke wake, Zuhura Othman maarufu kama Zuchu, akimsindikiza kufanya mazoezi mepesi kuelekea kujifungua....