WASANII WATAKAO PERFORM KWENYE ZAMA ZAO FESTIVAL WAMESAHAU LYRICS ZAO- KIDIS

Share this story

Msanii kutoka pwani Kidis The Jembe amesema kuwa wasanii wengi walioalikwa kutumbuiza kwenye zama zao festival ni wakongwe ambao hawajafanya maonyesho kwa Zaidi ya miaka kumi hivyo kusahau nyimbo zao wenyewe.

Kidis Katika mahojiano na presenter wa Mo Radio, YugeBwize, ameongeza kuwa hakuna umoja kwa wasanii hao na umoja unaoonekana ni Kwa ajili ya pesa ila hakuna umoja wowote wa kihalisia.

Kupitia Maktaba Ya Burudani


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post President Ruto Receive A Standing Ovation Addresses The European Parliament
Next post Wiper Party Endorses Kalonzo To Run For 2027 Presidential Elections