WAKAAZI WA WADI 30 KAUNTI YA MOMBASA KUFAIDI VYANDARUA ZA MBU

Share this story

Ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwa Malaria, gavana wa Mombasa Nasir akiwa na afisa WA kutoka kwa KEMSA, Andrew Mulwa, walizinduaΒ  shehena ya vyandarua 932,000 vilivyopokelewa kutoka kwa KEMSA.



Vyandarua hivyo vitasambazwa katika wadi zote 30 kaunti nzima pamoja na vituo vyote vya afya vya kaunti kuhakikisha ulinzi wa kutosha dhidi ya kuenea kwa Malaria.

Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Mchekeshaji wa Tanzania Aliyetamba Kenya Kwa Msemo Wa ‘Kata Simu Tupo Site’ Afariki Dunia
Next post