Shule Ya Upili Ya St. Johns Mghange Yapokea Hundi Ya Shilingi Laki Nne Chini Ya Ufadhili Wa Wakujaa Foundation

Share this story

St. Johns Mghange wapokea hundi ya shilingi laki nne chini ya ufadhili wa Wakujaa Foundation, hafla iliyoongozwa na Balozi wa taifa la Uchina hapa nchini Kenya Zhou Ping Jian.

Akiwasilisha ujumbe wa gavana wa kaunti hii Andrew Mwadime, naibu gavana wa Taita Taveta H.E. Christine Saru Kilalo ameitaja elimu kama chanzo cha mafanikio na kuhakiki kujitolea kwa Gavana Wakujaa kushirikiana na wadau mbali mbali kuimarisha hadhi ya elimu ngazi zote.

“Azma yangu ni kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kupata elimu pasi na kuzingatia jisia, rangi au kabila. Kwasasa tuko mbioni kuhakikisha watoto wanaokabiliwa na changamoto ya kifedha wanapata usaidizi ili wafikie ndoto zao.” Bi. Kilalo amesema.

Kupitia TTC


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kindiki declares Wednesday a public holiday to mark Idd-ul-Fitr
Next post Three More Health Unions Down Tools As Doctors Strike Continues