Ronaldo Nazario De Lima Kugombea uraisi katika shirikisho la mpira wa miguu nchini humo CBF.

Share this story

Lejendari wa soka nchini Brazil 🇧🇷 Ronaldo Nazario De Lima ameweka wazi rasmi kuwa atagombea uraisi katika shirikisho la mpira wa miguu nchini humo CBF.

De Lima anahitaji kuwa raisi wa CBF Ili kuendeleza zaidi soka la taifa hilo ambalo limepoteza Nguvu ya Ushindani.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post LSK Demands Full Disclosure of Costs and Losses in Adani Deals
Next post Kikuyu elders endorse Mutahi Kagwe for CS role