Wito Wa Umoja Kushughulikia Ongezeko la Uhalifu Wa Watoto Huko Likoni
Viongozi wa kidini watoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kuzuia kuzuka kwa magenge ya vijana wanaofanya vurugu katika Kaunti Ndogo ya Likoni.Rufaa za...
Kilifi : Bibilia ya Lugha ya Chonyi yazinduliwa
Shirika la Kutafsiri Biblia na Kusoma na Kuandika (BTL) limezindua Biblia ya Agano Jipya ya lugha ya Chonyi katika Eneo Bunge la Kilifi Kusini, na...
Mpango Wa Serikali Wa Kusambazaji Umeme Kwale
Serikali ya Kwale, kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa, inatazamia kuzindua mpango muhimu wa kusambaza umeme vijijini. Hii ni kulinganga na naibu gavana wa kaunti...
RASHIDABDALLA SUPERCUP : GREEN BOYS YAFUZU KWENYE MICHUANO YA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAKAZA KWALE UNITED
Timu ya Green boys kutoka maeneo ya Mwananyamala leo alasiri imeweza kuichakaza Kwale United kutoka Kwale mjini baada ya kuitandika mabao 3 -1 bila huruma...

Timu ya Green boys kutoka maeneo ya Mwananyamala leo alasiri imeweza kuichakaza Kwale United kutoka Kwale mjini baada ya kuitandika mabao 3 -1 bila huruma kwenye mechi ya kuwania kufuzu kwa Robo fainali ilio garagazwa kwenye uga wa shule ya msingi ya Waa. Green boys walijipata chini pale Kwale United walipo tangulia kucheka na wavu…