Lucia Witbooi Ateuliwa Kuwa Makamu wa Rais Katika Baraza la Mawaziri Nchini Namibia
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah amemteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa Rais katika Baraza la Mawaziri lililopunguzwa. Nandi-Ndaitwah, ambaye aliapishwa Ijumaa baada ya chama...
Wafanyakazi wa VOA Kwenda likizo Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutia saini amri ya utendaji
Wafanyakazi wa VOA wamewekwa likizo siku ya Jumamosi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutia saini amri ya utendaji Wafanyakazi wa Sauti ya Amerika...
MAREKANI : MSALABA WA PEPPERDINE AUKUGUSWA NA MOTO
Msalaba maarufu ulioko kwenye kilima katika Chuo Kikuu cha Pepperdine, Malibu, California, ulibaki bila kuguswa kabisa baada ya moto wa Franklin uliotokea Desemba 11, 2024....
Ndege ndogo yaanguka huko Malindi
Ndege nyepesi imeanguka na kuteketea katika eneo la Kwachocha huko Malindi. Tukio hilo lilitokea Ijumaa, Januari 10 alasiri.Ripoti zinaonyesha kuwa ndege hiyo ilianguka kando ya...
Merchan anaamuru Trump kuhudhuria hukumu mnamo Januari 10
Jaji Juan Merchan wa Mahakama kuu ya New York, ameamuru Rais mteule wa Marekani Donald Trump ahukumiwe kabla ya kuapishwa, katika kesi ya kughushi rekodi....
Polisi Wawakamata Waandamanaji wa Mombasa Huku Maandamano ya Kupinga Utekaji nyara Yakiendelea
Polisi wameripotiwa kuwakamata waandamanaji kadhaa waliojiunga na maandamano ya kupinga utekaji nyara mjini Mombasa nchini Kenya. Huku maandamano yakianza katika maeneo kadhaa ya nchi baada...