Pigo kwa Arsenal: Aston Villa Yaweka Kipaumbele Europa League, Huenda Ikatoa Nafasi kwa Man City
Habari mbaya zinaweza kuwa zinawaandama mashabiki wa Arsenal F.C. kufuatia hali ya sasa ya ushindani wa ubingwa katika Premier League. Hii ni baada ya kuibuka...
Lookman na Sørloth Kukosa Mechi Mbili, Mashaka Yaibuka Kwa Mchezo Dhidi ya Arsenal
Ademola Lookman na Alexander Sørloth wanatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa angalau wiki moja, hali itakayowafanya kukosa michezo miwili ijayo ya timu yao. Lengo la...
Kenya inatimiza wajibu wa CAF kuwa mwenyeji mwandalizi wa AFCON
Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Masuala ya Vijana, Uchumi Ubunifu na Michezo Salim Mvurya ametangaza kuwa serikali imetimiza kikamilifu majukumu yake ya kifedha kwa...
Arsenal imenyakuwa tuzo nne za wachezaji bora kwenye tuzo za jiji la London
Arsenal imenyakuwa tuzo nne za wachezaji bora kwenye tuzo za jiji la London.Mkufunzi bora: ArtetaMchezaji bora: RiceKipa bora: RayaNyota wa Jamii: Eze
Sheria Mpya Nne zitakazotumika kombe la Dunia
1. Mchezaji akifanyiwa mabadiliko anatakiwa atumie Sekunde 10 tu awe tayari ametoka Njee akizidisha hata sekunde 1 itamalzimu Mchezaji anayeiingia Kusubiri Njee angalau dakika 1...
Winga Bukayo Saka ameongeza mkataba wa miaka mitano kuendelea kubakia Arsenal hadi June mwaka 2031
Bukayo Saka amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitano kuendelea kubakia Arsenal hadi June mwaka 2031. Bukayo Saka sasa atalipwa mshahara wa €300000 kwa wiki